Mwanamuziki wa Kizazi Kipya RAY C
akimshukuru Rais Kikwete kwa kumsaidia matibabu, alipomtembelea Ikulu jijini Dar es Salaam leo.
Rais Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete akiwa pamoja na Ray C (wa pili kulia), Mama yake mzazi Ray C, Bibi Margareth Mtweve (kushoto) na kulia ni Sarah Mtweve Dada yake Ray C.

Leave a Reply