Uganda imetimiza miaka 50 ya Uhuru. Picha ya chini inamuonyesha Rais Museveni akipita kwenye gwaride katika viwanja vya Kololo jijini Kampala.
 

Makamu wa Raisi wa Tanzania Dr. Bilali alihudhuria.

Leave a Reply